Alhamisi, 23 Juni 2016

HYDROPONIC TEKNOLOJIA RAHISI KUIFANYA HATA NYUMBANI!!

 Karibu tena msomaji wetu ili uweze kupata mwanga zaidi katika ufugaji.Sote tukiwa wafugaji bila shaka huumizwa na upandaji wa bei za vyakula unaoongezeka kila siku,ukweli ni kuwa tungependa kufuga kwa gharama ndogo bila kupoteza ubora wa bidhaa tutakayozalisha iwe ni nyama au Mayai.
   Je umewahi kujiuliza utafanikiwaje Ku zalisha bidhaa bora kwa gharama nafuu?
     Ndipo hapo unapokuja umuhimu wa teknolojia mpya,kiukweli bado ni mpya kwa nchi yetu ila imekuwa ikitumika zaidi na kuwa na matokeo mazuri kwa nchi kama India,kenya,China nk.
          HYDROPONIC FODDER
Hii ni nini? Ni uoteshaji wa vyakula vya mifugo kwa kutumia virutubisho maalumu(Nutrients) bila kutumia udongo.
    Hydroponic huoteshwa kwenye eneo ambalo limeezekwa(hata ndani ya nyumba).Na huvunwa ndani ya siku 5-7 toka kuoteshwa.
    VIFAA VINAVYOHITAJIKA ILI KUOTESHA CHAKULA HIKI:
1:Trei ya plastic au aluminium tu
2:Mbegu
3:Bomba la sindano(kubwa)
4:Bomba la spray
5:Ndoo
6:kitambaa kisafi.
7:Nutrients.
  Baada yakuwa na vifaa hivi itakuwa rahisi kwako kutengeneza chakula hicho cha mifugo wewe binafsi.
UTATENGENEZAJE?

Usikose kufuatilia mfululizo wa hatua za utengenezaji wa chakula hiki.
*****ITAENDELEA......*****




Maoni 5 :

  1. Ahsante kwa somo nzuri la hydroponics, Je hizo hydroponics nutrients za kupandia zunapatikanaje, tunaweza kutengeneza nyumbani, zinaitwaje?
    Ahsante.

    JibuFuta
  2. Ahsante kwa somo nzuri la hydroponics, Je hizo hydroponics nutrients za kupandia zunapatikanaje, tunaweza kutengeneza nyumbani, zinaitwaje?
    Ahsante.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Nutrients zipo, nipigie 0655 533543 utapata lita moja Tshs. 10,000/= niko Mwanza - Tanzania

      Futa
  3. Hydroponic Nutrients pigs 0712815848,zinapatikana
    Lita moja 30000/ utapatiwa maelezo yote

    JibuFuta
  4. Tunazo nutrients, trey, vitabu vya kujisomea, dawa za kusafishia mbegu n.k. Tuko tayari kukupa ushirikiano iwapo utatuhitaji. Wasiliana nasi kwa jnb14enterprises@gmail.com. Simu nambari 0655 533543

    JibuFuta